tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

Usikojoe hapa

Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule, mwalimu akamuuliza hilo bango linasemaje? Mlevi akajibu: USIKOJOE HAPA. Mwalimu: kwa hiyo hapo unafanya nini?! Mlevi: kutoka moyoni nilijua hilo ni jina la hii shule.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania