tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

Mpenzi King'amuzi kipya tayari

Mke wa fundi ving'amuzi alikuwa kapelekwa hospitali tayari kujifungua na hatimaye akajifungua na akamu SMS mume wake: "Mpenzi King'amuzi kipya tayari".
Fundi akaruka juu kwa furaha ya kujua mkewe kishajifungua salama, na yeye akamjibu kwa SMS: "Hongera mke wangu mpenzi. Vipi kina
ANTENNA!!!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania