tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, March 11, 2013

Baunsa

Baunsa alienda kutibiwa mgongo kwa doctor.
DOKTA: Ilikuwaje mpaka ukapata mshtuko wa uti wa mgongo?
BAUNSA: Nilipoingia home alfajiri nikitokea kazini,nilisiki­a makelele
chumbani kwangu nikajua mke wangu yupo na mwanaume
mwingine,nikaza­ma chumbani kwa spidi lakini sikumkuta mtu,mara nikasikia mlango wa
sebuleni umefunguliwa kwa fujo,nilipochun­gulia kupitia
dirishani nikamwona mtu anakimbia huku anavaa shati,nikachuku­a fridge nikamrushia nikiwa ghorofa ya tatu,hapo ndipo niliposhtua uti wangu wa mgongo.......
Alipomaliza tu kauliyake,akain­gia mgonjwa mwingine kaharibika kama kagongwa na gari.
DOKTA: Na wewe nini kimekusibu?.
MGONJWA 1: Nilisahau kuweka alarm asubuhi nikachelewa kuamka kwenda
kazini,kazi yenyewe niliajiriwa jana tu baada ya kukaa jobless kwa muda mrefu,nikatoka nje huku navaa nguo,mara nikapondwa na fridge kichwani.......
Mara akaingia mgonjwa wa tatu akiwa na halimbaya kuliko waliomtangulia.
DOKTA: Na wewe nini tena Yarabi?
MGONJWA 2: 'Doctor,mimi nilikuwa nilitaka kufumaniwa nikajibanza ndani ya fridge,mara ghafla lile fridge likabebwa na kutupwa kutoka ghorofa ya tatu mpaka chini..
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania