tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, March 12, 2013

NIWEKEENI KESHONTANYWEA CHAI

BABU KAJA MJINI KWA
MWANAE TOKA KIJIJINI,
JIONI KAKARIBISHWA
MEZANI KWA CHAKULA
AKALA AINA 4 ZA
CHAKULA NA MATUNDA
AKASHIBA MARA
AKASIKIA "WE JOYCE
MLETEE BABU TISHU NA
TOOTH STICKS" MZEE
KAROPOKA JAMANI
NIMESHIBA, HIZO TISHU
NA TOOTH STICKS
NIWEKEENI KESHO
NTANYWEA CHAI,
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania