tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Sunday, March 3, 2013

Rich alikuwa amelala
na mkewe saa nane usiku
wakaamshwa na mtu
akipiga hodi mlangoni
kwao.
Wakabishana nani
afungue....hati­maye Rich
akaenda kufungua mlango
akiwa na usingizi mwingi,
akamkuta jirani yake mlevi
mlangoni.
Rich: "Nini tena mkubwa
mbona kuamshana saa
hizi?"
MLEVI: "Naomba uje
unisukume.."
Rich akajua labda gari la
huyu mlevi imekwama kwenye
tope, akamwambia, "Subiri
nivae viatu." Baada ya
kuvaa viatu akatoka na
kuanza kuandamana na
mlevi.
Mlevi akaongoza njia
mpaka kwenye mabembea,
akakaa kwenye bembea
mmoja, akamgeukia
Rich na kumwambia,
"Okay nisukume sasa".
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania