tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

Umbea Noma

bint kakaa kwenye daladala anaandika SMS, huku kashika kibegi chake. Mzee m1 pembeni akawa anakomaa kuangalia bint anaandika nn! Bint kastukia, akaamua kuandika hiv:

"Yule nyoka utakua hujamtoa meno ya sumu, anasumbua kwenye begi anataka kutoka, cjui nfanyeje na alivyo mkubwa itakuaje?"

Mzee kuona vile akasogea pembeni; bint nae hakumchelewesha , akamrushia begi!

Mzee kakurupuka, kelele; Nyokaa nakufaaa!
Bint: ukome kusoma sms za watu.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania