tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, October 15, 2012

house girl

Mwajuma ambaye ni house girl aliomba aongezwe mshahara.

mama mwenye nyumba akamuuliza amuongezee mshahara kwa lipi analofanya? mazungumzo yakawa hivi.

Mama: sasa  Mwajuma , ni kwanini unasema hivyo wataka uongezewe mshahara, kwa sababu zipi za msingi??

Mwajuma : mama, kwa kweli nina sababu tatu 3 za msingi kwanini
ninahitaji uniongeze mshahara.

"kwanza, mimi naweza kunyoosha nguo zaidi yako?"

Madam: "eeeh! na ni nani kakwambia hivo??"

Mwajuma : Baba kasema hivyo

apo mama akawa mdogo akaitikia tu

Mwajuma : "Pili, naweza kupiga zaidi yako"

Mama: "sasa Kiboga naona unaleta upuuzi, nani kakudanganya unaweza kupika zaidi yangu nami ndio nimekufundisha??"

Mwajuma : "baba huyo kasema"

dah apo mama akazidi kuwa mdogo, akauliza

"ya tatu je?"

Mwajuma : " mi ni zaidi yako kwenye mapenzi pia"

apo mama akili ikamruka uwiiiii...kwa unyoonge kabisa..!!

Mama: "na hiyo ni baba amesema??"

Mwajuma : "hapana mama sio baba, dereva wa baba ndio kaniambia hivyo"


mama: nitakuongeza mshahara mwanangu, hata usiwe na hofu.