tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

sisi ni mke na mume

MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, watoto wangu, sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana."
Mke akanyamaza kimnyaaaa anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe!
MUME: Akamuuliza Kwa hamaki: " Sasa hapo unatafuta nini?"
MKE: "bikini yetu!!!!"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania