tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Tuesday, March 5, 2013

Lakini Una Uhakika Muuaji Yupo

Mwalimu mpya wa Historia kabla ya kuanza kufundisha alitaka kuwapima uwezo wanafunzi kwa Kuwauliza swali kama ifuatavyo.
Mwl: Eeehe ! Ni Nani Aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunz 1: Aka Sio Mimi !
wa 2: Wallah ! Sihusiki !
wa 3: Kwanza Me Jana ckuja Shule!
Mwlimu Alipoona Wanafunzi Wote niwajinga kabisa akaamua Kumuita Mkuu Wa Shule ajekushuhudia ujinga wa wanafunzi wake,akampa lile swali mkuu wa shule iliakawaulize wanafunzi, Mkuu Wa Shule Alipoenda akawauliza Lile Swali "kwa vitisho" Mambo Yakawa Vilevile. Ndipo Alipomuita Mwalimu Pembeni Na Kumnong'oneza "Lakini Una Uhakika Muuaji Yupo Darasa Hili?"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania