tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, March 8, 2013

Sasa neno sukari lipo wapi?

Mwalimu: Hamadi tunga sentensi ukitumia neno SUKARI. Hamadi: Asubuhi nilikunywa chai na mkate. Mwalimu: Sasa liko wapi neno sukari apo? Hamadi: Ndani ya chai.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania