tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, March 7, 2013

uchague kati ya Hela na Akili

Mwalimu: Kama nikikuuliza wewe
uchague kati ya Hela na Akili
utachagua nini?
Mwanafunzi: Nitachagua hela.
Mwalimu: Hahaha...Ningec­­hagua
Akili
Mwanafunzi: Sawa,Kila mtu
anachagua asichokua nacho!
Mwalimu: Aaaaarggh!!**
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania