tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

MAJIBU YA MAKONDA WADALADALA

1. wewe Dada unaturingia nini na
matiti yako mawili nje nje, mbwa
pia ana matiti nane na
haturingii!!!!
2. Ka wafikiri Una haraka sana
Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima ,Chenji
Nikikumbuka.
4. Ka unataka siti ungekuja na kiti
chako...
5. Hatujasema wewe ni Mnene ila
Ukikalia SITI mbili Lipia....
6. usifungue dirisha ungetaka
upepo ungepanda pikipiki..
7. wewe Dada hebu sogea hukoo,
Unaringa nini wakati asubuhi hii
umeoga na sabuni ya kuoshea
vyombo...
8. ________________
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania