tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, March 11, 2013

Kwenu

1.Naskia una sura mbaya mpaka ukijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait...
2.Dada zako ni wabaya hadi mmeweka tangazo getini eti oa m1 upate wa2 bure.
3.Wewe ni mweus hadi ukibeba mtoto anasinzia akizani giza limeingia
4.Kwenu mko wengi hadi mtoto wa mwisho anaitwa etc
5.Damu yako tamu mpaka mbu huja na vitafunio
6.Kwenu mko wengi mpaka babako akiingia anasema 'hamjambo wananchi'
7.Kwenu kuchafu mpaka inzi na mende huvaa malapa...! Kweli?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania