tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, March 7, 2013

ngoja nirudi toka Songea

Jamaa kaaga kwa mkewe anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,..
siku ya kwanza akalala,asubuhi­ alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si akamuona jamaa yupo nje ya nyumba yake kavaa taulo
lake anapiga mswaki bila wasiwasi! akapiga ukelele, "Allo we nani?", Jamaa akajibu, "Ahhh mshikaji mambo ya mjini, mume wa huyu
demu kasafiri kaenda Songea huko,mi ndo navinjari hapa".Mume akajibu kwa uchungu, "Shenzi mkubwa, ngoja nirudi toka Songea
nikikukuta nakuuwa"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania