tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Thursday, March 7, 2013

huo ndio msaada wangu

Baba alimwandikia barua mwanae aliefungwa jela kwa wizi.
Baba; mwanangu,mwaka huu nitashndwa kulima viaz kwa kukosa msaada wako.
Mtoto:tafadhal ucdhubutu kulima hilo shamba baba maana ndipo nilipoficha pesa zote nilizoiba,Polisi walivyoona ile barua kesho yake wakaenda kulitifua lile shamba lote, wakazikosa zile pesa,Mtoto akamwandikia barua nyngne baba yake.
Mtoto:huo ndio msaada wangu pekee nnaoweza kukusaidia,sasa unaweza kupanda viazi...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania