tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, March 8, 2013

wahuni wa pale wana roho mbaya

Mtoto wa kike alimwambia mama yake: Mama wahuni wa pale wana roho mbaya, nimewaambia waniangulie maembe wakaniambia nipande mwenyewe. Mama akajibu: wale walikua wanataka kukuchungulia tu chupi yako. Mtoto akajibu: aah unafikiri sina akili ! Nilivua kwanza halafu nikapanda juuu