tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Sunday, March 3, 2013

darling

Jombaa kasafiri na mkewake kwenda moshi baada kufika moshi jamaa akawa anamwita mke wake moshlig mke wee mbona toka tumefika hapa moshi unaniita moshlig jamaa mbona wee tukiwa dar unaniita darling
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania