tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, March 4, 2013

wasomi au wazungu?

Jamaa kaenda kuomba kazi ya ulinzi..akaambi­wa awe amemaliza form 4 pia awe anajua kingereza..nae akauliza wanaokuja kuiba ni wasomi au wazungu?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania