tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, March 4, 2013

CHUMBA CHA KUTAHIRIA WANAUME

Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye moja ya vyumba akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka, akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi!
Akafurahi akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa CHUMBA CHA KUTAHIRIA WANAUME!!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania