tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

dawa ya kurudisha ujana

Wakati jamaa yuko china aliwatumia wazaz dawa ya kurudisha ujana...Baada ya mwez alirudi nchini na kupokelewa na dada mwenye mtoto mchanga...Jamaa akamuuliza dada, baba na mama wako wapi??
Dada kamjibu...
Mimi ni mama yako na niliyembeba ni baba yako yeye alizidisha dawa...
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania