tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

dakika 50 zijazo

Mlevi katuma meseji kwa mke wake
"Darling nipo bar napata mbili tatu,
nitarudi nyumbani ndani ya dakika 50 zijazo,
ukiona kimya we soma tena hii meseji"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania