tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

sipati charger yake

Jamaa alipoteza simu yake akawa akiipiga haipatikani,baada ya siku ya 3 akajaribu kuipiga tena bahati nzuri ikaita
Mwenye simu:Halooo kama zali vile wewe ndio umeokota simu yangu?
Muokotaji:waoooh nilikutafuta bila mafanikio afadhali umepiga ili unipatie charger cause nimezunguka kariakor nzima sipati charger yake!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania