tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, March 2, 2013

Watanzania wavivu

Watanzania wavivu jamani,hebu sikiliza kisa hiki. Wezi wawili walivamia bank na kufanikiwa kuiba mabunda ya hela, kufika nyumbani mmoja akamwambia mwenzie "hebu zihesabu tujue ni bei gani!" mwenzie akamjibu mimi nimechoka tusubiri taarifa ya habari ya saa 2 watatangaza ni kiasi gan tumeiba
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania