tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 1, 2013

Unasafiri kikazi

Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo mkeo anakupa box la condom “honey chukua hizi incase vikitokea  vishawishi.” Ukalipokea kwa bashasha na tabasamu zito na kusema, “asante.” Wakati unaingia kwenye gari mkeo anakukimbilia, “honey naomba pakiti kama tano hivi, kwani huwezi jua naweza shawishika pia.” Je Utampa?