tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, May 31, 2013

Maisha ni kitu cha kustajabisha sana

Maisha ni kitu cha kustajabisha sana, wale unaowadhania kuwa wema ndo hatari ona kama hawa;
Daktari: anakuombea uumwe.
Wakili: anakuombea upate kesi
Mtengeneza majeneza: anakuombea ufe
Police: anakuombea uwe mhalifu au ufanye kosa

Mwizi: ndio pekee anaekuombea ufanikiwe ili akuibie. Na wewe muombee anaekuombea mema ili nay eye azidi kufanikiwa.