tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 15, 2013

sina nauli

Siku moja baba K alikuwa akisafiri kwa kutumia usafiri wa daladala, cha ajabu akiwa ndani ya gari hakukaa kwenye siti alikuwa akitembeatembea anaanzia kwa dereva hadi siti ya nyuma konda ikabidi amuulize vipi? mbona hukai kwenye siti? Baba K akajibu "sina nauli ndio maana natembea kwa mguu."
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania