tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 1, 2013

Masisterduu noma sana

Masisterduu noma sana, hawa walikuwa wanatambiana juu ya majina ya mabwana zao.
Wakwanza: mi wangu ni SOSPETER, nikipenda namuita SOS au PETER
Wapili: mi wangu EMMANUELI, nikipenda namuita IMMA au  NOEL.
Watatu: akanuna na akaondoka zake kwa hasira. Kumbe bwanake anaitwa MBWAMBO.