tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 1, 2013

rafiki yako wa primary

Leo nimecheka sana, nimekutana na rafiki yako wa primary amenipa story zako, eti kila mwalimu alipokuwa akifuta notes ubaoni na wewe ulikuwa unafuta kwenye daftari.