tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Monday, June 10, 2013

JAMANI UALIMU WITO

Mwalimu Mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa kuwa hakuwa mchoraji mzuri, ule moyo ulionekana hovyo kabisa lakini kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini?
MWANAFUNZI WA KWANZA: Matako!
MWANAFUNZI WA PILI: Umechora Matako Mwalimu!
MWANAFUNZI WA TATU: Hayo ni Matako kabisaaaaa!
Mwalimu kwa hasira akamwita Mkuu wa Shule kwa madai kuwa wanafunzi wanamfanyia mzaha darasani, ikawa hivi;
MKUU WA SHULE: Kwanini mnamfanyia Mwalimu mzaha?
WANAFUNZI WOTE: Hatufanyi Mzaha!
MKUU WA SHULE: Kama hamfanyi mzaha nani kachora hayo MATAKO Ubaoni???
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania