tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 1, 2013

ngoja nirudi toka songea

Jamaa kamuaga mkewe anaenda semina songea kwaa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu nyumba ya pili toka kwake. Siku ya kwanza kalala ilipofika asubuhi akachungulia kwake  kukoje, si akamuona jamaa yupo nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele kwa sauti ya chini “we nani?” Jamaa kwa kujiamini akajibu,  “mshikaji mambo ya mjini haya, mume wa huyu demu kasafiri kaenda songea mi ndo navinjari hapa”. Jamaa akajibu kinyonge, “mshenzi mkubwa wewe, ngoja nirudi toka songea nitakuuwa”