tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 15, 2013

Hotel Management

Jamaa mmoja alimdanganya msichana kuwa anasomea Hotel Management. Siku moja huyo msichana akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa Mama Ntilie akamuuliza baby vipi mbona uko hapa? Jamaa akajibu bila woga " Niko Field"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania