tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Friday, June 14, 2013

msako wa leo ni kiboko

Polisi wakiwa katika msako mara wakamkamata mtu mmoja bila kujua kama ni chizi. Walipofika kituoni ukutani palikua na picha ya nyerere na kikwete, chizi akaanza kucheka alipoulizwa sababu ya kucheka akajibu: Ama kweli msako wa leo ni kiboko nyerere na kikwete nao wamo ndani!!!!!!!!!!????