tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, June 26, 2013

bado yupo shule

Jost alienda kutoa posa kwa wazazi wa Anna, alipofika baada ya salamu mazungumzo yalikuwa hivi.
Jost: nimekuja kutoa posa nataka kumuowa binti yenu.
Wazazi: mbona mtoto wetu bado yupo shule?

Jost: poa, ngoja mi niende nitarudi akifunga shule.