tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, June 1, 2013

wanaoongoza kwa uvivu duniani

Je unajua kwamba kuna watu 552668731105657 wanaoongoza kwa uvivu duniani? Na  wewe ni mmoja wao sababu hujajisumbua hata kusoma hizo namba.