tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

We mtumiaji wa Facebook we UNAPATA DHAMBI


  • Upo kwenu tandale unakula ugali then una update status eti at sea clif having my lunch. UNAPATA DHAMBI
  • Upo kitandaji hata hujala na huna uhakika wa kula, unaweka picha ya minyama na mikuku unasema karibuni. UNAPATA DHAMBI
  • wewe unamiaka 20 na unadate na babu wa miaka 60 then unasema umemmis beiby wako,yule ni beby wako au babu yako. UNAPATA DHAMBI
  • upo ubungo bus terminal unasema upo Mwal nyerere int airport. UNAPATA DHAMBI
  • una mke na watoto Lakin bado unatongoza wanawake na umeandika upo single. UNAPATA DHAMBI
  • Umekunywa maji tu alafu unatoka na stick mdomon UNAPATA DHAMBI
  • Yan wewe upo feri alafu unapost status at samaki samaki, kwa kwa vile umewaona wengi hapo UNAPATA DHAMBI
  • Umeacha shule darasa la pili lakini kwa profile yako umeandika umemaliza UDSM. UNAPATA DHAMBI
  • We siunaitwa Chaupele Jipu! Mbona umeandika Elizabeth Prosper? UNAPATA DHAMBI