tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

könda hakunirudishia chenchi

Daladal moja ilipat ajali maeneo ya darajan gar likaingia mton wakaj wat kuwaokoa bahat nzur kijan mmoj akaokolewa mzim akatole kweny maj baad ya dakik 5 yule kijan akapiga mbiz kweny maj wat wakamuuliz vip tena unaend wap? kijana akawambia nimekumbuka könda hakunirudishia chenchi kwa hiyo naend kumtafuta anipe chenchi yangu!