tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

NIACHENI KAMA NILIVYO HAYA NDIO MAISHA YANGU


Kuna jamaa alipata ajali
mbaya sana kwa bahati nzuri
hakufa sema bajaji ilimbana
kwenye mti na kumfanya
azimie.Watu walikuwa
wanapita bila kumpa msaada
unajua kilichomponza ni nini?
Kwenye bajaji yake kwa nyuma
aliandika hivi "NIACHENI
KAMA NILIVYO HAYA NDIO
MAISHA YANGU"