tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

Wavuta bangi wawili

Wavuta bangi wawili walikuwa wanaangua embe sasa baada ya kurusha mawe mengi bila ya mafanikio, mmoja wao akasema ngoja niende nikaliangalie isije ikawa embe lenyewe ni bichi basi akapanda juu ya mti kisha akalicheki afu akashuka chini akamwambia mwenzake, nimelibonyeza limeiva mwanangu kwa hiyo tuendelee kuliangua