tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

Baba Na Mwana


Baba; nilete soda we motto
Jost; pepsi or coka?
Baba; pepsi
Jost; ya kopo ya chupa?
Baba; ya kopo
Jost; ya baridi or yamoto?
Baba; hee! we mtoto mbna maswali mengi....basi bwana ni letee maji tu
Jost; ya hapa hom or nika nunue kwa mangi?
Baba; ya hapa hapa
Jost; ya baridi ya moto?
Baba ; ya baridi
Jost; kwenye glasi or kikombe?
Baba; ntakupiga na ufagio we motto
Jost; ufagio wa chelewa au wa mti?
Baba; nitakuuwa we motto!
Jost; utaniuwaje sasa, utanichoma kisu au utanipiga na
bastola?
Baba; ntakupiga na bastola
Jost; kichwani au tumboni?
Baba; kichwani...NIMEKWAMBIA TOKA NJE
Jost; saiv au baadae kidogo?
Baba; sasa ivi
Jost; maji hutaki?