tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

Mateja

mateja wanne walikuwa wamekaa wanataka wavute bangi sasa wakamtuma mwenzao akatafute kiberiti, aliyeenda kuchukua kiberiti akazunguka vichochoroni mpaka akatokezea tena pale kwa mateja wenzake,
TEJA : oya wana mnakiberiti hapo?
Mateja wa 3: kunamtu tumemtuma subiri anakuja hapa sasa hivi.
basi wakakaa kumsubiri huyo mtu .....