tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, July 21, 2012

Jost na Abdal walikuwa wakifanya kazi

Jost na Abdal walikuwa wakifanya kazi ofisi moja wakiwa na bosi wao wa kiume ambae kila siku alikuwa anawahi kuondoka ofisini. siku moja majamaa wakapanga  bosi akiondoka tu na wao wafunge ofisi.
Abidal akafurahi kutoka mapema siku hiyo na kupitiliza moja kwa moja bar kupata ulaji, Sasa Jost ile kutoka tu akarudi hom fastaa ili akamsuprise mkewe, ile kufika tu akasikia sauti za ajabu chumbani kwake..akanyata taratiibu hadi mlangoni, taratiiibu akafungua mlango ili asisikike, ile mlango kufunguka akamuona bosi wake na mkewe kitandani wanafanya vitu vyao..akaurudishia mlango na kuondoka.
Kesho yake ofisini Abidal akawa anataka waondoke tena mapema kama jana, ..Jost akajibu..."ah kudadeki nenda wenyewe, me jana bosi bado kidogo tu anidake"