Jamaa mmoja alimdanganya msichana kuwa anasomea Hotel Management. Siku moja huyo msichana akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa Mama Ntilie akamuuliza baby vipi mbona uko hapa? Jamaa akajibu bila woga " Niko Field"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
tangazo one

Abidal

karibuni
ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Saturday, June 15, 2013
Friday, June 14, 2013
msako wa leo ni kiboko
Polisi wakiwa katika msako mara wakamkamata mtu mmoja bila kujua kama ni chizi. Walipofika kituoni ukutani palikua na picha ya nyerere na kikwete, chizi akaanza kucheka alipoulizwa sababu ya kucheka akajibu: Ama kweli msako wa leo ni kiboko nyerere na kikwete nao wamo ndani!!!!!!!!!!????
Wizi Benki
Jambazi "wote laleni chini pesa ni
za serikali na maisha ni ya
kwenu",wote wakalala chini
... HII INAITWA DHANA YA
USHAWISHI-kubadilisha njia ya
kawaida ya kufikiria
-------------------------------------------
Kuna dada kwa woga akawa
amelala chini kimitego,
Jambazi "dada embu kuwa na
adabu chukua kanga jifunike hili ni
tukio la ujambazi na sio la
ubakaji.
HUU UNAITWA WELEDI-zingatia
ulichofundishwa kufanya
--------------------------------------------
Walipotoka kwenye wizi jambazi
mdogo ambaye ana shahada ya
uzamili ya biashara akamwambia
mwenzake,"tuzihesabu hizi
fedha,yule mkubwa akamcheka
kwa dharau na kumjibu,"wewe
mjinga sana hizo hazina haja ya
kuhesabu saa mbili watatutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba
kiasi gani.
HUU INAITWA UJUZI-Sikuhizi ujuzi
ndio bora kuliko vyeti
-------------------------------------------------
Baada ya majambazi kuondoka
meneja akamwambia mhasibu wa
bank, " ujumlishie na zile milioni
80 tulizo iba sisi".
HUKU KUNAITWA KUOGELEA NA
MKONDO WA MAJI- kushabiihana
na mazingira magumu kwa faida
binafsi.
-------------------------------------------------
Mhasibu akafurahi na
kusema,"dah wizi ukitokea kila
mwezi itakuwa burudani sana.
HUKU KUNAITWA KUWA NA
MAWAZO CHANYA-Furaha ndio
kitu cha muhimu zaidi
-----------------------------------------------
Meneja kafurahi sana kwakuwa
sasa matatizo yake yametatuliwa
na wizi uliojitokeza.
HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU-
shikilia nafasi psle inapojitokeza
hata kama ni hatari kiasi gani
-------------------------------------------
Haya usiku wake taarifa ya habari
ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana
wa millioni 100 umetokea leo
benki kuu,
Majambazi kuskia hivyo wakaanza
kuhesabu zila pesa lakini
wakajikuta na milioni 20 tu.
Yule jambazi mkubwa akashtuka
na kusema, "dah! yani meneja
kaiba mara nne zaidi yetu bila
kuchezesha msuli bora umeneja
kuliko ujambazi".
HII INAITWA ELIMU- ishike sana bunduki na msuli

Dalili Za Mtu anaevuta Bangi
1.Ukiona mtu anapenda kutembea na vibiriti lkn sio mvuta sigara ujue kuna k2
2.Ukiona mtu anampenda bob marley lkn apendi reggae ujue kuna k2
3.Ukiona mtu anazungumzia kwenda south africa ikiwa hata nauli ya kumfikisha karaikoo hana ujue kuna k2
4.Ukiona mtu ugomvi wake wa silaha ujue kuna k2
5.Ukiona mtu aeleweki cku nyingine mpole cku nyingine mkali ujue kuna k2
6.Ukiona mtu anampenda tupac lkn apendi hip hop ujue kuna k2
7.Ukiona mtu_____________. malizia na wewe.
#sio wote ila zaidi ya 99% ni bangi.

konda amekudai nauli?
Kuna msichana kilipanda daladala kikaenda kukaa
mwsho kabtha.
Lakin kwa mbele alimu0na m2 amefanana na boy
wake...alimtegea yule mtu ageuke ili upate
uhakika lakn yule m2 muda wote aliinamia simu
yake.
Ndipo uzalendo ulimshnda akamtext
"beby uko nyumban?"
"ndiyo vip kwan mbona unauliza?"
"nimepanda bajaji nw naenda mwenge huyu
dereva amefanana na wew sana"
"ooh dat guud...vip konda amekudai nauli??"
"mmmh kwanin?"
"nimemwambia akate wawili"

Monday, June 10, 2013
JAMANI UALIMU WITO
Mwalimu Mgeni aliingia darasani kwa mara ya kwanza na kuchora moyo ubaoni. Kwa kuwa hakuwa mchoraji mzuri, ule moyo ulionekana hovyo kabisa lakini kwa kujiamini akauliza wanafunzi nimechora nini?
MWANAFUNZI WA KWANZA: Matako!
MWANAFUNZI WA PILI: Umechora Matako Mwalimu!
MWANAFUNZI WA TATU: Hayo ni Matako kabisaaaaa!
Mwalimu kwa hasira akamwita Mkuu wa Shule kwa madai kuwa wanafunzi wanamfanyia mzaha darasani, ikawa hivi;
MKUU WA SHULE: Kwanini mnamfanyia Mwalimu mzaha?
WANAFUNZI WOTE: Hatufanyi Mzaha!
MKUU WA SHULE: Kama hamfanyi mzaha nani kachora hayo MATAKO Ubaoni???
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
MWANAFUNZI WA KWANZA: Matako!
MWANAFUNZI WA PILI: Umechora Matako Mwalimu!
MWANAFUNZI WA TATU: Hayo ni Matako kabisaaaaa!
Mwalimu kwa hasira akamwita Mkuu wa Shule kwa madai kuwa wanafunzi wanamfanyia mzaha darasani, ikawa hivi;
MKUU WA SHULE: Kwanini mnamfanyia Mwalimu mzaha?
WANAFUNZI WOTE: Hatufanyi Mzaha!
MKUU WA SHULE: Kama hamfanyi mzaha nani kachora hayo MATAKO Ubaoni???
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Friday, June 7, 2013
tuoane miaka mitano
Mke alikuwa akifanya usafi nyumbani
kwake,
kwa bahati akakuta kibox kidogo chini ya
mvungu wa kitanda, alipokifungua alikuta kuna
mayai matano na shilngi milioni mbili.
Mumewe aliporudi alimuuliza kuhusu kile kisanduku
na mayai ni ya nini?
Yule bwana akamjibu mkewe kwamba, alijiwekea
utaratibu kuwa kila akitoka nje ya ndoa ananunua
yai moja na kulihifadhi mle katika kisanduku.
Mkewe akiwa na furaha akamwambia duh! yaani
tangu tuoane miaka mitano iliyopita umetoka nje
ya
ndoa mara tano tu!
Kumbe wale walikuwa wananiambia kuwa wewe ni
malaya sana hawakuwa sahihi ni wachonganishi
tu...
Mke akauliza, haya na hizi shilingi milioni mbili ni za
nini?
Mume: Huwa nayauza yale mayai pindi yakiwa
mengi
na fedha naweka humo...!

Sunday, June 2, 2013
nakutumia kiss 100
Jamaa alihamia Dar tokea Mbeya kwenda kusaka life na kumwahidi wife kuwa atakuwa akimtumia fedha za mahitaji ya yeye na familia, sasa jamaaa akiwa Dar mammbo yakawa sioikabidi amtumie wife barua na kusomekahivi:-
Mpendwa mama wa watoto wangu,
Ni matumaini yangu kuwa u mzima wa afya pamoja na wanangu wote.
Hapa dar hali imekuwa ngumu na nimeshindwa kukutumia fedha za matumizi ya mwezi ila nakutumia kiss 100 kwani nakupenda sana.
Salimia familia kwaniaba yangu.
Mmeo mpenzi
Baada ya wiki mbili jamaa nae akapokea barua toka kwa mkewe ikisomeka kama ifuatavyo:-
Mme wangu mpenzi,
Kwanza pole na mihangaiko na hali ngumu uliyonanyo.
Kuhusu fedha usijali kwani nimezitumia zile kiss 100 ulizonitumia na ufuatao ni mgawanyo wake
1. Baba mwenye nyumba alivyokuja kudai kodi ya nyumba nilimalizana nae kwa kiss 35
2. Na Yule mangi wa pale dukani ambaye alikuwa ananidai fedha za baadhi ya majitaji ya nyumbani nimemlipa kiss 10
3. Maji na umeme walivyokuja kunidai nimewapa kiss 20
4. Mwalimu wa tution yeye amekubali kwa kiss 25
Usijali sana kwani mpaka sasa nimebakiwa na akiba ya kiss 10.
Nakutakia kazi njema na mafanikio
Mkeo kipenzi

Saturday, June 1, 2013
mke mwema anatoka kwa bwana
Jamaa
aliulizwa na nduguye “utaoa lini” akajibui “nasubiri mke aliyeachika” nduguze
wakashangaa sana wakamuuliza kwa nini? Akajibu “mke mwema anatoka kwa bwana.”
ngoja nirudi toka songea
Jamaa
kamuaga mkewe anaenda semina songea kwaa wiki nzima kumbe kahamia kwa demu
nyumba ya pili toka kwake. Siku ya kwanza kalala ilipofika asubuhi akachungulia
kwake kukoje, si akamuona jamaa yupo nje
ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki. Akapiga kelele kwa sauti ya
chini “we nani?” Jamaa kwa kujiamini akajibu,
“mshikaji mambo ya mjini haya, mume wa huyu demu kasafiri kaenda songea
mi ndo navinjari hapa”. Jamaa akajibu kinyonge, “mshenzi mkubwa wewe, ngoja
nirudi toka songea nitakuuwa”
Masisterduu noma sana
Masisterduu noma sana, hawa walikuwa wanatambiana juu ya
majina ya mabwana zao.
Wakwanza: mi wangu ni SOSPETER, nikipenda namuita SOS au
PETER
Wapili: mi wangu EMMANUELI, nikipenda namuita IMMA au NOEL.
Watatu: akanuna na akaondoka zake kwa hasira. Kumbe
bwanake anaitwa MBWAMBO.
wewe mwanaume
Hepu
leo tuwe wakweli, hasa wewe mwanaume unaesoma hii. Ivi wanawake zako wote
wakitaka uwanunulie vin’gamuzi au smartphone, kaka si utakuwa wakala?
wanaoongoza kwa uvivu duniani
Je
unajua kwamba kuna watu 552668731105657 wanaoongoza kwa uvivu duniani? Na wewe ni mmoja wao sababu hujajisumbua hata
kusoma hizo namba.
rafiki yako wa primary
Leo nimecheka sana, nimekutana na rafiki yako wa primary
amenipa story zako, eti kila mwalimu alipokuwa akifuta notes ubaoni na wewe
ulikuwa unafuta kwenye daftari.
Unasafiri kikazi
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo mkeo anakupa box la
condom “honey chukua hizi incase vikitokea
vishawishi.” Ukalipokea kwa bashasha na tabasamu zito na kusema, “asante.”
Wakati unaingia kwenye gari mkeo anakukimbilia, “honey naomba pakiti kama tano
hivi, kwani huwezi jua naweza shawishika pia.” Je Utampa?
Subscribe to:
Posts (Atom)