tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Wednesday, October 3, 2012

‎2030,IBADA MAKANISAN ZITAKUWA IVI

PASTOR:"Bwana asifiweeee!"

WAUMINI:"Ameeeen."

PASTOR:"Haya,tafadhalini sasa toeni;iPad,tablet na simu zenu,ingieni google msearch Yohana 3:16 msome.
Pia washeni bluetooth zenu ili muweze kupokea mahubiri.
Kwa wanaotumia Facebook,Twitter,BBM na Whatsapp mnaweza kuendelea kupokea mahubiri kupitia accounts zangu.Msiwe na wasi mnaweza kutumia Wi-Fi ya kanisa kwa uhuru........Halleluuuuuuyah!"

WAUMINI:"Ameeeeni."

PASTOR:"Wapendwa sasa ni wakati wa kutoa sadaka,kama hukubeba cash unaweza tumia Credit card,pia hapo nje karibu na choo kuna ATM machine ya KCB,Equity, NMB,CRDB,CBA,na Baclays unaweza enda kuwithdraw pap! Uje mtolee mungu......Pia unaweza kutoa sadaka kupitia Mpesa na Airtel Money kwa namba unazoziona kwa screen.

WAKATI WA MATANGAZO.
PASTOR:"Matangazo ni kama yafuatavyo:-

*Wiki hii jumatano saa kumi tutakuwa na ushirika{fellowship} katika group yetu ya facebook...tafadhali msikose kulogin huo wakati.

*Siku ya Alhamisi kutakuwa na mafundisho ya bibilia moja kwa moja kupitia Skype.

*Kama una tatizo unahitaji maombi tafadhani andika kwenye wall yangu ya fb...ama ni poke nitakukumbuka kwenye maombi.

*Kwa mahubiri na mafundisho zaidi nifollow katika twitter.