tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

Wahaya kwa sifa....

Hii nimeckia leo kwenye matangazo ya vifo......
Ndugu Deus Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Jose Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana Pasis baada ya kupaliwa na burger akiwa anaendesha Hummer yake mpya. Msiba utafanyka kwa Aunt yake Marekani. Taarifa ziwafikie Ronaldo Rweyemamu wa Portugal,

Koku Kardashian Rweyemamu wa U.S.A.,

Torres Rweyemamu wa Spain,

Walcot Rweyemamu wa England na

House gal wao aliyepo Dubai Shoppng..!!