tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

Mwalimu katangaza test

Mwalimu katangaza test ya imla. Masharti ni ukiandika jibu hamna kukata. Akaanza kusoma maswali: Swali la kwanza, taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula. alama 1%

Wavulana: wakajaza wali, ugali, mihogo.
Wasichana: wakajaza biriani, baga na pizza.

Swali la pili, elezea jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja. Marks 99%

Wacha wasichana waanze kuhangaika kukata majibu ya mwanzo!!!!