tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

MAONGEZI YA WASICHANA WAWILI WAKISAFIRI

KWA BASI KWENDA MKOA:
Msichana-1: Ni aina gani ya mume ungependa
kupata?
Msichana-2: Awe Bilionea
Msichana-1: Je?! kama hautapata bilionea?
Msichana-2: Basi awe milionea.
Msichana-1: Je kama hutapata mwenye pesa kiasi
hicho?
Msichana 2: Mwenye millioni moja anafaa pia.
Msichana-1: Kama sio?
Msichana-2: Mwenye laki tano sio mbaya sana.
(John aliyekuwa amekaa siti ya nyuma yao huku anasinzia akamng'oneza abiria mwenzie)

"Akifika elfu moja uniamshe!"