tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

hizi pombe tunakunywa lakini .....

Jamaa alikuwa kakaa kwenye meza moja ya baa akiwa kajiinamia kwa mawazo. Rafiki yake akaingia;
BOZO: Vipi wewe mbona hivyo?
BAZA: Aise hizi pombe tunakunywa lakini mbaya sana
BOZO: Vipi tena?
BAZA: Si jana nimerudi nyumbani ndiii, sinikadai haki yangu ya ndoa, ndugu yangu nilipomaliza sinikatoa shilingi alfu kumi nikamlipa waifu
BOZO: Du hiyo kali, lakini siyo jambo la kuwazia kiviiiile
BAZA: Tatizo ni kuwa alinirudishia chenji ya alfu tano...