tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

Jamaa kakosea namba

Jamaa kakosea namba si akatuma 220,000/-kwa MPESA kwenda namba tofauti na aliyotaka,

hapo hapo akili ya haraka ikamjia akatuma text ifuatayo.

MPENDWA TUNATEGEMEA UMEPATA FEDHA ZETU. WEWE NI MMOJA ULIYEBAHATIKA KUUNGANISHWA KATIKA KUNDI LETU TUKUFU LA FREEMASON. ILI KUKAMILISHA MAKUBALIANO NDUGU YAKO WA KARIBU ATAFARIKI KATIKA MUDA WA MASAA MATATU BAADA YA KUPOKEA FEDHA HIZO. MARA HILO LITAKAPOTOKEA FIKA UPESI KWENYE NJIA PANDA YOYOTE ILIYOKARIBU NAWE, NA MTUMISHI WETU ATAKUFUATA NA GARI JEUSI NAWE UTAKUJA KUNYWA DAMU YA KIAPO ILI UWE MWANACHAMA KAMILI. KARIBU KWA FURAHA KUU.........

Dakika moja na nusu baadaye meseji ikaja umepokea 220,000/ kutoka kwa.....