ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.
Friday, September 9, 2016
Kang'atwa na nyoka
mdada:- Bby naomba hela nimpeleke mdogo wangu hospital kang'atwa na nyoka JAmaa:- embu mpe huyo nyoka simu niongee nae.. maisha yanakaba..