tangazo one

tangazo one

Abidal

Abidal

karibuni

ni mara chache sana tunapata muda wa kujiuliza juu ya umuhimu wa watu waliotuzunguka, na maisha yetu yangekuwaje bila wao? wape nafasi na usisite kuwaambia jinsi unavyojisikia juu yao na umuhimu wao kwako. ASANTE KWA KUWA SEHEMU YA MAISHA YANGU.

Saturday, October 12, 2013

Msichana wa Kingoni

Msichana wa Kingoni noma kweli !!... kafumwa na Bwana ake anasaliti ndoa yao sa ile katika kujitetea anamwambia bwana ake 'We Baba Nanii wewe yaani Mwenzio alivyokuwa anabembeleza hata Ung'ekuwa Wewe ung'empa!!

hizi pombe tunakunywa lakini .....

Jamaa alikuwa kakaa kwenye meza moja ya baa akiwa kajiinamia kwa mawazo. Rafiki yake akaingia;
BOZO: Vipi wewe mbona hivyo?
BAZA: Aise hizi pombe tunakunywa lakini mbaya sana
BOZO: Vipi tena?
BAZA: Si jana nimerudi nyumbani ndiii, sinikadai haki yangu ya ndoa, ndugu yangu nilipomaliza sinikatoa shilingi alfu kumi nikamlipa waifu
BOZO: Du hiyo kali, lakini siyo jambo la kuwazia kiviiiile
BAZA: Tatizo ni kuwa alinirudishia chenji ya alfu tano...

Love & Death

LOVE is when your boyfriend catches you naked
with another man and tells you "baby dress up let's go home"
DEATH is when you follow him
home!

traffic wakike

Ndo uzuri wa traffic wakike sio wakali kama wakiume "katusimamisha, afu kaja kwenye side mirror kachukua lipstick kajipaka afu kajiangalia. Then katuruhusu twenzetu !
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

niko Samaki Samaki

BOY: Hello baby boo.... Uko wapi???
Nimekumiss.
GIRL: mpenzi niko Samaki Samaki hapa
napata Lunch, then namsubiria driver
wangu aje kunichukua anipeleke Chuo...
We uko wapi?
BOY: Nipo Siti ya nyuma ndani ya hii Dala
dala ya Mbagala Uliyopanda, Nilitaka
kukwambia nimeishakulipia Nauli......
Usilipe

Maisha ya dar es Salaam

Maisha ya DAR tunayajua wenyewe jamani!

hongera walio "SHAMBA" Ambako wanachinja "KUKU" Na Kuliwa Nyumba Hiyo Hiyo!

Hapa Dar "KUKU" Anachinjwa "KISUTU"

Shingo Inaliwa "KINONDONI"

Kibawa kinaliwa "MANZESE"

Kidari "TABATA

Paja "OYSTERBAY"

Firigisi "MASAKI"

Miguu "MBAGALA"

Mbavu "MIKOCHENI"

Utumbo "TANDIKA"

Kichwa "TANDALE"

Mgongo "MWENGE"

Ngozi
"KEKO"

CHEZEA DAR WEWE, MSOSI WAKE KAMA MGAO WA "UMEME" KILA MTU LAZIMA APATE.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Jifanye unaumwa

Jifanye unaumwa na wataarifu Wapenzi wako wote hata waliopita waje Kukuona. Na kila m1 aje na Soda ya Mgonjwa japo Moja moja!! Je huwezi Kupata Msingi Wa Kioski!? Nnavyokujua wewe, Hukosi Kreti kumi. Jaribu Uone. Huo Ni Ushauri Wa Bure. Ndugu Yangu Maisha magumu haya!!

Jamaa kaingia kwa dokta.

JAMAA: Dr nina tatizo huku sirini
Dr: Hebu vua nguo tuone.
JAMAA: poa navua ila pliz usicheke,narudia usicheke.
DK: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi kucheka mgonjwa. Jamaa akavua suruali,dk kuona tu, maadili yakamshinda! akaanza kucheka vibaya kama dakika 5 hadi machozi! kwani kamjomba ka jamaa kalikuwa kadogoo,
kama njiti ya kiberit
alipomaliza kucheka akamuliza haya, tatizo nn?
JAMAA: Imevimba tokea juzi! Dokta akazimia!

what comes after 69?

TEACHER: what comes after 36
STUDENT: 37
TEACHER: Good and what comes after 69?
STUDENT: mouthwash
TEACHER: get out

Unawaza nini?

Vipi mpendwa? Naona umetulia. Unawaza nini? Usihofu kama ni gari tengeneza hata la udongo na kama ndege nunua ata njiwa naye ni ndege na wewe ujidai, mimi mwenzio sina mawazo tena ninamiliki nyumba 3 mbili zakawaida 1 ya golofa zote zakuchora kwenye karatas. mvuvi hakuwa mjinga kuchonga mtumbw. nae alitaman meli

Wanaume walikuwa kwenye semina

Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa.
Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda
ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi,wengine
muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila
mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms
amwambie nakupenda mke wangu halafu
badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya
mwenzake.Majibu yalikuwa hivi:-
1.Unaota au?
2.Umekumbwa na nini?
3.he, Makubwa!
4.Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani!
5.Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6.Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii
sms?
7.Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8.Wewe sema unacho kitaka.
9.Leo hunipati ng'o!
10.Nani mwenzangu?

Jamaa kakosea namba

Jamaa kakosea namba si akatuma 220,000/-kwa MPESA kwenda namba tofauti na aliyotaka,

hapo hapo akili ya haraka ikamjia akatuma text ifuatayo.

MPENDWA TUNATEGEMEA UMEPATA FEDHA ZETU. WEWE NI MMOJA ULIYEBAHATIKA KUUNGANISHWA KATIKA KUNDI LETU TUKUFU LA FREEMASON. ILI KUKAMILISHA MAKUBALIANO NDUGU YAKO WA KARIBU ATAFARIKI KATIKA MUDA WA MASAA MATATU BAADA YA KUPOKEA FEDHA HIZO. MARA HILO LITAKAPOTOKEA FIKA UPESI KWENYE NJIA PANDA YOYOTE ILIYOKARIBU NAWE, NA MTUMISHI WETU ATAKUFUATA NA GARI JEUSI NAWE UTAKUJA KUNYWA DAMU YA KIAPO ILI UWE MWANACHAMA KAMILI. KARIBU KWA FURAHA KUU.........

Dakika moja na nusu baadaye meseji ikaja umepokea 220,000/ kutoka kwa.....

Mwalimu katangaza test

Mwalimu katangaza test ya imla. Masharti ni ukiandika jibu hamna kukata. Akaanza kusoma maswali: Swali la kwanza, taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula. alama 1%

Wavulana: wakajaza wali, ugali, mihogo.
Wasichana: wakajaza biriani, baga na pizza.

Swali la pili, elezea jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja. Marks 99%

Wacha wasichana waanze kuhangaika kukata majibu ya mwanzo!!!!

MAONGEZI YA WASICHANA WAWILI WAKISAFIRI

KWA BASI KWENDA MKOA:
Msichana-1: Ni aina gani ya mume ungependa
kupata?
Msichana-2: Awe Bilionea
Msichana-1: Je?! kama hautapata bilionea?
Msichana-2: Basi awe milionea.
Msichana-1: Je kama hutapata mwenye pesa kiasi
hicho?
Msichana 2: Mwenye millioni moja anafaa pia.
Msichana-1: Kama sio?
Msichana-2: Mwenye laki tano sio mbaya sana.
(John aliyekuwa amekaa siti ya nyuma yao huku anasinzia akamng'oneza abiria mwenzie)

"Akifika elfu moja uniamshe!"

Wednesday, October 2, 2013

kupika juani wakati jua linawaka

Jamaa alikuwa nanyeshea shamba wakati mvua inanyesha.Alipoulizwa kwa nn unanyeshea shamba wakati mvua inanyesha? Akajibu kwani hujawahi ona watu wanawasha moto na kupika juani wakati jua linawaka?